Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa upande wa promota wake, Stefy Bull kupitia mtandao wake wa Twitter amesema kuwa “Nimemshuhudia kijana akifanya kazi anayoipenda kiasi kwamba yupo tayari kuhatarisha hata maisha yake, sina maneno mengi ya kusema hasa katika kipindi hiki kigumu kwa familia, timu na marafiki hakika inauma,” amesema Bull.
 
Taarifa zinasema kuwa Westgarth ameonekana kuwa mwenye maumivu baada ya pambano hilo licha ya kuposti picha yake inayomuonyesha akisherehekea ushindi aliyo upata kabla ya kuanguka katika chumba cha kubadilishia nguo na kufikishwa hospitali ya Royal Hallamshire.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…