Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aiseee huo cha Mtoto kuna Uzi mmoja mkulu anaomba aombewe kuna kakomenti anaomba Mapenzi yake yatimizwe bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihidimiwe rest in peace our beloved prezidaa
Watu wamepinda kweli
Kamanda kwa namna moja au nyingine ulifurahia hiyo comment kiaina. Sema ukweli [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Na kenyewe kahenga tu. Kanajua mpaka mambo ya zamani mno...
 
Embu acha hizo, usiwasikilize hao walugaluga! Open ze doo fo mi, plizi! Aiem oni mai wei! [emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Embu acha hizo, usiwasikilize hao walugaluga! Open ze doo fo mi, plizi! Aiem oni mai wei! [emoji124][emoji124][emoji124]
Numbisa Kwani anakunywaga ile mimvinyo myekundu unayogawaga. Kabla yako kuliwahi kuwa na mtu hapa alikuwa anatembea na wedding rings za visoda. Alioa hapa hapa akafikisha karibu wake sita...Ila sijaona matunda yako ya red wine mkuu...Hamia kwenye wedding rings ikibidi achana na red wine....
 
Tajiri? Mimi huyu? Hapana bana. Mi sina kitu...na kidogo Mola anachonijalia nashea na wenzangu wenye shida zaidi yangu. Tena sasa na mama hayupo ndo kabisaaaaa [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Oooooooo!![emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] umeharibu sasa!!!
Ungeitikia tu "naaaamuu"....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…