Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Inasemekana wanawake ndiyo wanaongoza hata katika kuangalia yale mambo. Sitashangaa !!!Hahahahaha yale mambo yetu hata Numbisa anapenda kuosha macho nasikia ni muangaliaji mzuri tu🙂
HahahahaIgnore list si mpaka niwakosee jamani? Mnataka kunionea bure tu sasa. Acheni huzo please...
Asante sanaAmani moyoni
Nilishawahi kula ban ya wiki moja. Haikuwa mbaya kivile. Sasa nikila ban actually itanisaidia kidogo. Nimezidi sana kuangalia angalia huku. Yaani halipiti lisaa limoja. Ngoja nije niende jukwaa la siasa huko nikakorofishe nione itakuwaje....Aaah hata sababu haina mashiko,ukila ban kikweli utaimiss JF shaurilooo
Kwa kweliAmani na upendo
Pengine kapunguza ligi yake na uchwara/dhalimu/nduli [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Wala tena siyapendag,ila mods wamekusahau hahaha wiki ya tatu au nne hii hujala ban
Hutachikua round utaipata tu!Nilishawahi kula ban ya wiki moja. Haikuwa mbaya kivile. Sasa nikila ban actually itanisaidia kidogo. Nimezidi sana kuangalia angalia huku. Yaani halipiti lisaa limoja. Ngoja nije niende jukwaa la siasa huko nikakorofishe nione itakuwaje....
Pipiii ziko wapi ?
SYB
BAK
Na anayeutembelea na kuacha comment ya kijinga huku akijua kuwa ni uzi wa kijinga pengine ndiyo mjinga zaidi kuliko wajinga walio katika uzi wa kijinga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kati ya uzi wa kijinga kuwahi kutokea
Na anayeutembelea na kuacha comment ya kijinga huku akijua kuwa ni uzi wa kijinga pengine ndiyo mjinga zaidi kuliko wajinga walio katika uzi wa kijinga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shuaiiniii huyu kafanikiwa kuturusha roho kweli kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shimba nini kimemsibu!
Yaani shimba huyu!Shuaiiniii huyu kafanikiwa kuturusha roho kweli kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]