Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hewalaa kwenye ubora kabisaaa
 
Sawa mkuu. Nisije tu nikaikuta hiyo comment imekuwa framed na kukolezwa rangi kisha kutundikwa sebuleni. Nitaona aibu sana !!!
 
Hata hivyo, siku moja, mwanamke mmoja alilalamika kuwa yeye haridhiki na jinsi mwalimu wao anavyowafundisha. Alisema wao ni watu wazima lakini mwalimu wao anawafanya wajifunze kwa kuigiza kama watoto na wakati mwingine kuwaimbisha nyimbo na kuwachezesha ngoma za asili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…