Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naona unanitafuta si bure....
Mimi yaani mimi carba?leo naitwa sis??
Toka shemeji kipenzi hadi sis??
Walahi nahama uzi......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tuliza boli basi shemeji kipenzi darling. Usipokuwepo hapa panadoooooda vibaya sana...Hata Mwakaleli anamaliza mbwembwe....
 
Hali ya hewa shawishi kwa kilimo cha watoto [emoji23] [emoji23] , Wish ningekuepo darling, huku kimvua cha wastani.[emoji8] [emoji8] MY[emoji8] [emoji8]
 
Bro bro brooooo hahahaah
 
Jana we si ulililia kuitwa sis jamani? Naona hata Carba naye hataki. Haya basi nitaacha jamani. Bageshi itafaa? Baby je? Au nitwange Numbisa tu?

===>(Sis ni kinyume cha bro. Sasa sijui tatizo liko wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23])
Tatizo sio sis tatizo inaiweka ndan ya mabano kama umelazimishwa vile akhaaa kaa nayo hahahaha

Numb,numby,numbisa yote sawaa.

Baby itaneni na jakitoo ila hahaha kuna siku nae anaitwa sis nae anaitikia bro hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…