Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kitu cha kukumbuka ni kwamba kwa kiasi kikubwa betri za simu siku hizi zinatengenezwa chini ya uangalizi mkubwa na wa kiteknolojia ya juu. Mara nyingi pale zinapokuwa na tatizo mara nyingi huwa kwa sababu ya kutumia betri au chaja zilizotengenezwa chini ya viwango na makampuni yasiyo rasmi,
 
na ata pale inapokuwa imetokea nje ya sababu hii basi itakuwa imesababishwa na sababu zingine zisizo za kikawaida. Sasa basi, nini ufanye ili betri lako simu yako lisilipuke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…