Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uwe unaipa muda simu kupoa baada ya matumizi mazito na ikapata joto kali.

Ndio mara nyingine utakuta ni wewe ndiye umeitumia simu muda mrefu bila kuipumzisha na ata simu hiyo ikaanza kupata joto kali, ikitokea simu yako imeshika joto sana iweke sehemu ipate kupoa na ndiyo uitumie tena.
 
Je uchaji simu yako ikiwa na kiwango gani kuzidi kuifanya betri iwe kwenye ubora mzuri?

Watafiti wanakushauri kama betri ya simu yako ni ya ‘Li-ion’ hakikisha mara nyingi inakuwa na chaji zaidi ya asilimia 50, mara nyingi betri za simu hizi zinakuwa zinaharibika kama zinakuwa zinakuwa chaji ndogo mara kwa mara.
 
Tatizo bro madharau mengi,kila akifika hapa ni maneno yasiyo unganika na manyimbo nyimbo meeengiii.... Wacha anyoshweee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siyo manyimbo tu ila manyimbo ya hip hop[emoji23][emoji23][emoji23]
Nyimbo za kibishi
Anaacha kuja na nyimbo romantiki anakazana na hip hop[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ndio top 10 ya Wachungaji (Watumishi wa Mungu) wenye utajiri mkubwa zaidi Duniani, ripoti hii ni ya mwaka 2016.

1. Bishop David Oyedepo (pichani) - Net Worth 2016 – $150 Million (Nigeria)

2. Bishop T.D. Jakes - Net Worth 2016 – $147 Million (America)

3. Chris Oyakhilome - Net Worth 2016 – $50 Million (Nigeria)

4. Benny Hinn - Net Worth 2016 – $42 Million (America)
Ukwasi huu huwa wanautoga wapi? Au wanamiliki migodi ya vito?
 
5. E. A .Adeboye - Net Worth 2016 – $39 Million (Nigeria)

6. Creflo Dollar - Net Worth 2016 – $27 Million (America)

7. Kenneth Copeland - Net Worth 2016 – $25 Million (America)

8. Billy Graham - Net Worth 2016 – $25 Million (America)

9. T.B. Joshua - Net Worth 2016 – $10 Million (Nigeria)

10. Joseph Prince - Net Worth 2016 – $5 Million (Singapore)
Nigeria na America wametia fora
 
2b7bbc3610c4d6e546c31835994a4cad.jpg
Paskal tokodi[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
 
Paroko wa kanisa Katoliki parokia ya Ulumi jimbo la Sumbawanga Fr Peter Twamba ameawaadhibu kwa kuwatandika viboko mbele ya altare na mbele ya waamini Wasabato wanne kwa madai ya kulidhalilisha kanisa Katoliki.


Wasabato hao waliingia kanisani RC kujumuika na wakristo, wakaomba waweze kuwasalimia wakristo, walipopewa nafasi kipindi cha matangazo wakasema kuwa, "sisi ni wasabato wa siku ya saba halali, jumapili siyo siku ya kusali Bali siku ya kwanza ya Juma. Wakasema kuwa ninyi mnaosali siku ya jumapili mumepotea"- wakacharazwa viboko.
Asee, wamejitakia bana. Wangekuja kwetu tuwape peremende walambe[emoji3] [emoji3]
 
Wapare wanaishi katika miteremko ya milima ya Upare Kaskazini, iliyopo Mashariki ya Milima ya Usambaa; na Kusini Mashariki mwa mlima Kilimanjaro. Kwa mujibu wa historia kutoka katika machapisho mbalimbali, lugha inayozungumzwa na watu wa eneo hili, inajulikana kama Chasu. Wenyeji wakaitwa Vaasu, hivyo kabila hilo lilijulikana k ama kabila la Waasu.
Wapi Bob12
 
Back
Top Bottom