Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

8f542e84f51196bb07d5c700974342de.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hii ndio top 10 ya Wachungaji (Watumishi wa Mungu) wenye utajiri mkubwa zaidi Duniani, ripoti hii ni ya mwaka 2016.

1. Bishop David Oyedepo (pichani) - Net Worth 2016 – $150 Million (Nigeria)

2. Bishop T.D. Jakes - Net Worth 2016 – $147 Million (America)

3. Chris Oyakhilome - Net Worth 2016 – $50 Million (Nigeria)

4. Benny Hinn - Net Worth 2016 – $42 Million (America)
 
5. E. A .Adeboye - Net Worth 2016 – $39 Million (Nigeria)

6. Creflo Dollar - Net Worth 2016 – $27 Million (America)

7. Kenneth Copeland - Net Worth 2016 – $25 Million (America)

8. Billy Graham - Net Worth 2016 – $25 Million (America)

9. T.B. Joshua - Net Worth 2016 – $10 Million (Nigeria)

10. Joseph Prince - Net Worth 2016 – $5 Million (Singapore)
 
Paroko wa kanisa Katoliki parokia ya Ulumi jimbo la Sumbawanga Fr Peter Twamba ameawaadhibu kwa kuwatandika viboko mbele ya altare na mbele ya waamini Wasabato wanne kwa madai ya kulidhalilisha kanisa Katoliki.


Wasabato hao waliingia kanisani RC kujumuika na wakristo, wakaomba waweze kuwasalimia wakristo, walipopewa nafasi kipindi cha matangazo wakasema kuwa, "sisi ni wasabato wa siku ya saba halali, jumapili siyo siku ya kusali Bali siku ya kwanza ya Juma. Wakasema kuwa ninyi mnaosali siku ya jumapili mumepotea"- wakacharazwa viboko.
 
Wapare wanaishi katika miteremko ya milima ya Upare Kaskazini, iliyopo Mashariki ya Milima ya Usambaa; na Kusini Mashariki mwa mlima Kilimanjaro. Kwa mujibu wa historia kutoka katika machapisho mbalimbali, lugha inayozungumzwa na watu wa eneo hili, inajulikana kama Chasu. Wenyeji wakaitwa Vaasu, hivyo kabila hilo lilijulikana k ama kabila la Waasu.
 
Kabila la wapare linapatikana mkoani Kilimanjaro kaskazini mwa Tanzania katika wilaya ya Same na Mwanga japo wapo wapare waishio maeneo ya Moshi kama vile chekereni,himo,uchira, mabungo na moshi mjini, vilevile wanaishi wilayani Hai kwenye maeneo kama Rundugai na mto weruweru. Mkoani Tanga wapare wanaishi zaidi Lushoto katika maeneo ya Bumbuli na Mavumo.
 
Kwenye hii clip huyu dingi mbona alikula mzigo vizuri tu? Na binti akaapurishieti kabisa? [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tupia tuone[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Historia inaeleza kuwa katika Karne ya 18, Waasu walikuwa wenyeji wa Kenya eneo la Taita na Taveta. Lakini, baada ya kusikia habari za maajabu ya Kilimanjaro, walifanya mikakati ya kuhama ili waishi katika mteremko wa mlima huo. Waasu walipofika karibu na maeneo ya mlima wa ajabu, yaani Kilimanjaro, walielekea sehemu za Kaskazini ili waishi karibu na Kilimanjaro, wakiwa na matumaini makubwa ya kuishi huko.
 
Back
Top Bottom