mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
KaribuHodi
KaribuHodi
Nakuamini
Mmh hasaraDuniya na Homo Sapiens wake......
![]()
Hahahahaha umeona heeeMie najua sababu ya hizi picha,weuwee kwan nao hawapend burudan hahahah
Safi sanaParoko wa kanisa Katoliki parokia ya Ulumi jimbo la Sumbawanga Fr Peter Twamba ameawaadhibu kwa kuwatandika viboko mbele ya altare na mbele ya waamini Wasabato wanne kwa madai ya kulidhalilisha kanisa Katoliki.
Wasabato hao waliingia kanisani RC kujumuika na wakristo, wakaomba waweze kuwasalimia wakristo, walipopewa nafasi kipindi cha matangazo wakasema kuwa, "sisi ni wasabato wa siku ya saba halali, jumapili siyo siku ya kusali Bali siku ya kwanza ya Juma. Wakasema kuwa ninyi mnaosali siku ya jumapili mumepotea"- wakacharazwa viboko.
Au anafiri kwa kutumia mdomo!Hata wewe Nina wasiwasi na ufahamu wako inawezekana unatumia visigino kufikiri
Amun RaAmun Ra
HahahahaHata wewe Nina wasiwasi na ufahamu wako inawezekana unatumia visigino kufikiri
This is goooooodParoko wa kanisa Katoliki parokia ya Ulumi jimbo la Sumbawanga Fr Peter Twamba ameawaadhibu kwa kuwatandika viboko mbele ya altare na mbele ya waamini Wasabato wanne kwa madai ya kulidhalilisha kanisa Katoliki.
Wasabato hao waliingia kanisani RC kujumuika na wakristo, wakaomba waweze kuwasalimia wakristo, walipopewa nafasi kipindi cha matangazo wakasema kuwa, "sisi ni wasabato wa siku ya saba halali, jumapili siyo siku ya kusali Bali siku ya kwanza ya Juma. Wakasema kuwa ninyi mnaosali siku ya jumapili mumepotea"- wakacharazwa viboko.
HahahahaAu anafiri kwa kutumia mdomo!
Mkodera mholaHaya sasa tukubali. Salamu angalau unajua kuzibangaiza. Tupia angalau kamsemo kengine basi? Baghosha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safi sana aisee!Paroko wa kanisa Katoliki parokia ya Ulumi jimbo la Sumbawanga Fr Peter Twamba ameawaadhibu kwa kuwatandika viboko mbele ya altare na mbele ya waamini Wasabato wanne kwa madai ya kulidhalilisha kanisa Katoliki.
Wasabato hao waliingia kanisani RC kujumuika na wakristo, wakaomba waweze kuwasalimia wakristo, walipopewa nafasi kipindi cha matangazo wakasema kuwa, "sisi ni wasabato wa siku ya saba halali, jumapili siyo siku ya kusali Bali siku ya kwanza ya Juma. Wakasema kuwa ninyi mnaosali siku ya jumapili mumepotea"- wakacharazwa viboko.
IndeedWanjigu
HahahahaSafi sana aisee!
Na kama wana ubavu hawa Wasabato siku moja waende wakatesti zali masjid...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Lugha gani hii "sis"? Likely Kikurya....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkodera mhola