Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hakikisha unanunua simu au betri zenye ubora/kiwango cha juu.
Hakikisha unanunua simu iliyo kwenye kiwango na ubora salama. Je ni simu kutoka kwenye kampuni inayoaminika? Pia angalia kama ni ‘original’ kwani kuna makampuni mengi kutoka Uchina huwa yanaiga umbo na vitu vingine mbalimbali vya simu maarufu duniani na kuzitengeneza zikiwa chini ya viwango.