Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kabila la wapare linapatikana mkoani Kilimanjaro kaskazini mwa Tanzania katika wilaya ya Same na Mwanga japo wapo wapare waishio maeneo ya Moshi kama vile chekereni,himo,uchira, mabungo na moshi mjini, vilevile wanaishi wilayani Hai kwenye maeneo kama Rundugai na mto weruweru. Mkoani Tanga wapare wanaishi zaidi Lushoto katika maeneo ya Bumbuli na Mavumo.
Wapi uniq
 
d3fe7507566601fb9bd0d116d004a8dc.jpg
 
Historia inaeleza kuwa katika Karne ya 18, Waasu walikuwa wenyeji wa Kenya eneo la Taita na Taveta. Lakini, baada ya kusikia habari za maajabu ya Kilimanjaro, walifanya mikakati ya kuhama ili waishi katika mteremko wa mlima huo. Waasu walipofika karibu na maeneo ya mlima wa ajabu, yaani Kilimanjaro, walielekea sehemu za Kaskazini ili waishi karibu na Kilimanjaro, wakiwa na matumaini makubwa ya kuishi huko.
Wahamiaji haramu
 
Back
Top Bottom