Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Walitawala dunia katika nyanja zote kwa muda mrefu sana. Walikuwa mpaka na uwezo wa kuweka na kuondoa wafalme madarakani, ikiwemo kwenda vitani na kuua. Ndiyo maana kuna makabrasha ya siri kubwa kuhusu dini, sayansi, utawala n.k. yamefichwa katika vyumba vya chini huko Vatican...
Kweli Mkuu RC wana siri kubwa
 
Msanii wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed a.k.a SHILOLE amehukumiwa kulipa faini ya Tsh. Milioni 14 na mahakama ya Mwanzo Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam baada ya kupatikana na hatia ya utapeli kwa kushindwa kufika kwenye tamasha na kusababisha hasara.
 
Back
Top Bottom