Sijaiona,mwenyewe nimeona malalamiko tu akiomba msamahaVideo umeiona?
[emoji111] [emoji111] [emoji111]Uzi number one JF
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bro we acha Tu yaani na Hali ya hewa hii mtu bado kafunga kwa "Prime Minister " huku so kurushana stimu huku
Pole sana, ukiwasuti lazima uchezee kichapo, maana wanaume hawapendagi masula ya kusutwa[emoji3] [emoji3]Jamani dawa ya wanaume wambea ni nini, hapa kazini kwetu kuna wanaume wambea sijawahi kuona,nataka niwasute,sijui watanipiga
Lyamungo,hii shule ina shida kwakweli.