carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Duh ina maana forex muda wote laptop inatakiwa kuwa on unaishangaa tu aiseeeNani anacheza? Huwezi kuangalia VPL huku unakula likes na kuangalia hayo magrafu ya Forex at the same time? Au sis anakuhitaji bedroom unasingizia VPL? [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Enjoy!I'm watching VPL game now catch you later likers
Wabeja ntogwa wane [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Am fine,hichi nacho kiligha ng'wanawane
Kumbe ni Shunie? Watu walisubiri sana ha ha haaa. Halafu nawe. Ubuyu kama huu unaachaje kunitag? Ubuyu kama huu ukisoma lazima utabasamu, na kutabasamu daima ni jambo jema...Shunie kuanzia leo jiite rasmi Mrs. GENTAMYCINE kwani umeuteka moyo wangu kunakotukuka
jakitoo
mzee wa liver
Genta kataja leo[emoji23][emoji23][emoji23]
Yap. Laptop, simu, tablet, TV...everything.... Ukikosea kidogo ukajisahau unaweza kuta akaunti iliyokuwa na dola hata 5,000 au 10, 000 inasoma zero.....Duh ina maana forex muda wote laptop inatakiwa kuwa on unaishangaa tu aiseee