Yuko huku anapambana na andaeitini wenzie
Zawadi inakuhusu. Nitaileta mwenyewe Bugando au kokote unakofanyia kazi...Hahahaha naonewa mieee
Enheeeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kitumbua chenye mafuta kilichoumuka kinene cha moto moto kitamu....
Kwema bro?
Jamani jamaniii[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Ila vya ukweli ukweli nimechangia kiasi fulani kumuathiri kijana wangu..
Kijana wangu mwenye kushika dini na mpole...
Eee muache bhana,misambwanda inakufanya ujisikie fresh,mchana kutwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakupenda wewe ni
Mzuri sana na ni mpole sana
Agape love lakini
Nasikitika kusema kuwa huyo atakuwa ni mtoto na hajielewi[emoji41][emoji41][emoji41]Vipi Kama umemwambia uto muoa lakini yy anadai anakuelewa hivyo hivyo
Umekumbuka?Hahahahahaha aiseee maneno yamenirudia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nashindwa kabisa kila nikijitahidi wap
Kujiripua kunataka moyo aisee. Umeona hata Shunie imebidi tu awe mpole kwa sababu hakuna namna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Me niliususa ule uzi maana niliona hamba kitu.
Ila leo Mzee baba leo kaamua kuvunja ukimya.
Jiripue tu shem lake[emoji23][emoji23][emoji23]kwani waogopa nini bhana
Ukishindwa kuandika siredi andika hata hii[emoji116][emoji116][emoji116]kihenga zaidi
Hiyo sired usisahau nitag sipendi pitwa na ubuyu
Next ubuyu nakutag[emoji125] [emoji125]
Jizazi [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Mtaka cha uvunguni sharti abong'oe
Siyo mashindano hayo.Yaani hata 10 sijafikisha na uzee wangu huu Jamaa 1400 buku Mia nne
Huu ni unyanyasaji
Jamani msinikumbushe madhila niliyopitia. Kumbe kuwa huru hivi kuna raha sana. Ngoja nije nikukorofishe mpaka uniweke kwenye ignore list halafu tena naanza kupambana ili unitoe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kijana ambae alikua anakosoa balaa kila daile yupo anachekelea kwenye ignore list za isis haahahhaah
Kweli maana mimi hata KWA PRIME MINISTER NAFUNGIWA ndo nifikishe 1400Kila mtu na bahati yake