andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Hili neno "kubong'oa" linanikumbusha mbaaaliii[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mtaka cha uvunguni sharti abong'oe
Hili neno "kubong'oa" linanikumbusha mbaaaliii[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mtaka cha uvunguni sharti abong'oe
Richest person
Nikomae kusukuma ukuta work done =0Komaa hadi ufunguliwe
Mwanaume kupambana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaaa...Kijana ambae alikua anakosoa balaa kila daile yupo anachekelea kwenye ignore list za isis haahahhaah
Sijui kama za kwake
Hivyo vitamu anavyolalamikia alionjeshwa na nani? Ma-ex bwana [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Pole sana kijana
Point nzuri sana hii tusikuhukumu in caseHahahaaaaa..
Haya mambo acha tu
Siku tukikutana usinihukumu kwa maandishi ya humu.
Umeona eeeh! Kakimbaumbau kamefurahi balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha
Wacha nikachabo ubuyu umenipitaShunie kuanzia leo jiite rasmi Mrs. GENTAMYCINE kwani umeuteka moyo wangu kunakotukuka
jakitoo
mzee wa liver
Genta kataja leo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata nakumbüka basiKwani nimesemaje tena??
Hahahahaha shimba jiripue mkuuKumbe ni Shunie? Watu walisubiri sana ha ha haaa. Halafu nawe. Ubuyu kama huu unaachaje kunitag? Ubuyu kama huu ukisoma lazima utabasamu, na kutabasamu daima ni jambo jema...
Shunie mwenyewe huwa anajivunia Baba D wake na kijana wao. Sasa mzee Gent kaamua kujiripua. Na ukorofi wake ule sipati picha. JF raha sana jamani !!!
(Sijui nami nikajiripue kwenye sredi?)
Step up unisaidie mimi kijana mpole kabisaPole sana kijana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weweeeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()