myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Pipi ya kijiti,,tam tam...Hata sijui,jichagulie mwenyewe
Pipi ya kijiti,,tam tam...Hata sijui,jichagulie mwenyewe
Cole umeamua kujilipua kwa Numbisa?!!!Nakupenda wewe ni
Mzuri sana na ni mpole sana
Agape love lakini
Kwani kwako kuna kufuli?Nikomae kusukuma ukuta work done =0
Anza ww tuone
Yaani[emoji15] [emoji15] [emoji15] sijaamini kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzalendo umekushinda eeh??
Bro, unaamini kweli atafungua hii link na kwenda Youtube kusikiliza limuziki mpaka apate ujumbe uliokusudia?Cc Andjul
Kuwa real, ni njia ya maisha hiyo
Hawa matineja wanashida sana[emoji23][emoji23][emoji23]Hivyo vitamu anavyolalamikumia alionjeshwa na nani? Ma-ex bwana [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Well said bro Forex ni shida ukitaka kumaintain 24 hrs businesses news uwe updates aisee hila mapeni yapo ya kutosha kuna Siku kiduku alijaribu kombora lake likapiga pwani ya Japan du sikupiga ma Yen hayo acha kabisaYap. Laptop, simu, tablet, TV...everything.... Ukikosea kidogo ukajisahau unaweza kuta akaunti iliyokuwa na dola hata 5,000 au 10, 000 inasoma zero.....
Inabidi ukae chonjo. Ni lazima ufuatilie habari zote za kimataifa zinazoweza kuathiri masoko ya pesa duniani. Ni lazima ujue Trump ka-tweet nini, kiduku wa North Korea kachimba mkwara gani, Brexit kule inaendeleaje, Japan imepigwa na tetemeko ama la, OPEC wanasemaje kuhusu bei ya mafuta na uzalishaji wake, Masoko ya fedha kule Marekani, China, UK na Japan yana mwelekeo gani na kama yanatabirika...Ni lazima ujue msimamo wa sarafu kubwa kubwa zote duniani.....Ni kazi ngumu na kamwe siyo rahisi kama masihi wao alivyoiweka humu.....
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] we mzee wanasema kamanda haogopi kufaVeri simpo kijana...cheza na loko championi,achana na wanao jifanya matawi ya juu.
Nenda kale chakula karibu na hostel za chuo...
luku vere: ukimwi izi vere denjarazi..
Yapwiki ya kazi inaelekea kukamilika
Sidhani ajaribu tuoneStupid Homo Sapiens. Kasayari kenyewe haka haka kamoja na hakuna pa kukimbilia. Kama ambavyo Stephen Hawking amekuwa akionya mara kwa mara, dunia hii haitaangamizwa na kimwondo wala hatari nyingine bali itaangamizwa na binadamu mwenyewe. Sad....
![]()
Hili neno "kubong'oa" linanikumbusha mbaaaliii[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Naomba niwekee hii nyimboHata nakumbüka basi
Kwani umesemaje vile
Ngoja nile kozi kwa my ndugu huwezi jua amna amna nikafikisha hata buku tu sio mbaya mzungu atakuwa kanipita 400Hata sijui,jichagulie mwenyewe