mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahahaha aisee watu wamepoteza sanaMasihi wao hakusema ukweli. Alivyoielezea unaweza kufikiri hela zipo nje nje kumbe inahitaji weledi mkubwa wa kuelewa mambo mengi kwa pamoja na kuyasynthesize halafu usome usome sana kila wakati huku ukiwa attentive 24/7. Na mwanzoni pale ni lazima utapoteza tu. Wengi naona wamejaribu wakapigwa sasa wanarudi kumuita masihi tapeli. Always za kuambiwa ......
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzee myoyambendi uwe una malizia likes watu wa pwani wengi humu
Jilipue Nyanya rukia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani hii barua hujaiona au?
Mbona wanifanyia hivi lakini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waaaaiiiii[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Ndo nimeanza hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cc:nyanya rukia kitoo![]()
Jirani yako ni tatizo sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jiraniiiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Daah ni Agape love hiyoCole umeamua kujilipua kwa Numbisa?!!!
Historia inaweza kujirudia ya Masaki?
Oh..no...
Cole nnyambhala twala unkikulu kukajha[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Hahahahaha kuna vitabu vingi sana na you tutorial za kutosha ukiwa mzembe usijaribu kabisa hii kitu acha kabisaHahah
Hahahah eti masihi jaman forex imedondosha miamba JF,watu walikua wanapiga pesa za maana hadi watsup ila sasa upepo wa forex umeharibu kiiilaaa kituuu.
AMUN RAIla ukiimudu na ukawa na mtaji wa kueleweka kama akina Mzee wa Ini ni biashara nzuri sana. Mwanzoni pale tumia pesa ambazo huzihitaji kwa lolote vinginevyo utajuta !!!
Kwa uzee wangu hautathubutu kucheka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ntacheka sana tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jilipue Nyanya rukia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
SYB waitwa huku
Ni changoto kwakweli[emoji23]Jirani yako ni tatizo sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio swali kwangu lakini ni photo shopShimba umegundua nini kwenye hii picha?
Mbona unataka nimwage mbogaKwani kwako kuna kufuli?
Ntajilipua ila kwa fekero langu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] ukiona uzi wa kujilipua jua tayarii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwama wewe ulivyofanya eeh[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nyanyaaaa nyanya sista duu
Mkuu mkuu niajeHuyo atakuwa anakuchezea na kukupotezea muda wako. Achana nae mapema....
[emoji23][emoji23][emoji23]acha uwoga bhanaMbona unataka nimwage mboga
You never know broBro, unaamini kweli atafungua hii link na kwenda Youtube kusikiliza limuziki mpaka apate ujumbe uliokusudia?
Possible hakuna lisilowezekana chini ya juaWAKUU HUYU JAMAA AMEWALA KISAWASAWA DUUH IS IT POSSIBLE![]()
![]()