andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Naona carba hataki kabisa kukusikia unaijadili hiyo 1400.Cc Andjul
Kuwa real, ni njia ya maisha hiyo
"Anae kupenda atakulinda"
[emoji124] [emoji124] [emoji124] Akili kichwani mwako
Naona carba hataki kabisa kukusikia unaijadili hiyo 1400.Cc Andjul
Kuwa real, ni njia ya maisha hiyo
Kumi ujafikishaYaani hata 10 sijafikisha na uzee wangu huu Jamaa 1400 buku Mia nne
Huu ni unyanyasaji
AminaAsante mungu kwa uzima
Amun RaAMUN RA
YopPossible kabisa,wadada wa siku hizo wanajali pesa tu mengine hayana umuhimu kwao
Mmh tutakupotezaMwambie anifundishe nifikishe 1400
HahahahaKumi ujafikisha
Unitag tu...Ntajilipua ila kwa fekero langu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] ukiona uzi wa kujilipua jua tayarii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahahaCole umeamua kujilipua kwa Numbisa?!!!
Historia inaweza kujirudia ya Masaki?
Oh..no...
Cole nnyambhala twala unkikulu kukajha[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Roma kafanyaje tenaMwenyekiti wa Baraza la Vijana CHADEMA Taifa, Patrick Ole Sosopi amemvaa Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo pamoja na Baraza la Sanaa Nchini kwa kitendo cha kufungia nyimbo za wasanii lakini sambamba na kumfungia miezi sita Rapa Roma Mkatoliki kutojihusisha na muziki kwa kipindi hicho. Sosopi amesema kitendo hicho ni sawa na kumuua msanii.
KabisaaaHetazi watasema fotoshopu[emoji23][emoji23]
Kumbe kishundu cha ukweli
Sawa ntakutag Nyanya rukia/varshitaUnitag tu...
Itakuwa ni dhambi kupitwa na huu ubuyu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amekiuka mashart aliyopewa anapaswa kubadil maudhui ya nyimbo zakeeeRoma kafanyaje tena
HahahaaaaPoint nzuri sana hii tusikuhukumu in case
Hali ya hewa ya Dom inapendezaaaaAmina