Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Jinsi ya kutengeneza mchwa.
Chukua samadi ya ng'ombe changanya na maranda ya mbao vizuri mwagia maji michanganyiko wako ulowane vizuri.
Weka kwenye chungu au box michanganyiko wako.
Chukua chungu/box lako weka katika njia ya mchwa kwa maana sehemu yenye asili ya mchuguu ambapo mchwa wanapatikana.