Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mweee shimba alikua na ushujaa wake huko huko ananisingizia tu dah u slap it and watch it vibrate hahahah quote of the year
Nilikuwa mwoga mno. Ooooh sijui watu watanifikiriaje. Mpaka niliposhuhudia mojawapo ya ligi zako hapa na ukasema kabisa kuwa you don't give a damn what other people think and that you are free. Ndipo ukombozi wangu ukanifungukia hapo. Yu a mai hiro kwa kweli !!!

Hiyo quote mh...ni mojawapo ya faida ya misambwanda hiyo hasa ukiupata ule laini mning'inio. Mtikisiko wake ni 10 kwenye Richter scale na waweza dhani kuwa hutakufa wallahi !!!
 
Upo upande wa ushindi, upo upande ambao unatakiwa uufanyie kazi na uweze kushinda kwenye safari ya mafanikio.
Upande wa mafanikio upo, hilo unatakiwa kulijua kila wakati, nakukumbusha tena hutakiwi kukata tamaa au kujiona huwezi tena, mafanikio yako yapo.
Fanyia kazi haya na chukua hatua kuhakikisha ndoto zako zinatumia.
 
Ni vema na ni haki walahi!
 
e368e6afade15b00d93175a7af982d3b.jpg
Hahahaha
 
Mpole humu alikua cole,anaibiwa na akina pimbi yupo tu anaangalia hahaha

Huyu mkoromije sio mpole angekua mpole jakitoo angeshamponyoka zamaan
Upole una mipaka yake. Siyo mke anaibwa we upo umekazana na parabozi, lyrics na mavideo ya Yutyubu...Upole ni kujua wakati gani upambane na kupigania haki zako na wakati gani upotezee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahah yaan wewe duh

Niiombee isitokee siku nikaumbuka humu kama akina forex uwiii u hiro utaniisha
Nilikuwa mwoga mno. Ooooh sijui watu watanifikiriaje. Mpaka niliposhuhudia mojawapo ya ligi zako hapa na ukasema kabisa kuwa you don't give a damn what other people think and that you are free. Ndipo ukombozi wangu ukanifungukia hapo. Yu a mai hiro kwa kweli !!!

Hiyo quote mh...ni mojawapo ya faida ya misambwanda hiyo hasa ukiupata ule laini mning'inio. Mtikisiko wake ni 10 kwenye Richter scale na waweza dhani kuwa hutakufa wallahi !!!
 
Hah
Upole una mipaka yake. Siyo mke anaibwa we upo umekazana na parabozi, lyrics na mavideo ya Yutyubu...Upole ni kujua wakati gani upambane na kupigania haki zako na wakati gani upotezee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahahah kijana mpole asiione hiii bonge la makavu laivu
 
Numbisa ndiyo anipeleke kanisani ikibidi. Wiki nzima tukiwa kanisani kama wakati ule wa Valentine alipodai alikuwa kwenye Jumatano ya majivu isiyoisha itapendeza ajabu. Nitaokoka mazima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akushike na mkono kabisa tena ikiwezekana awe anakufundisha na neno kila siku sehemu tulivu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom