Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

58c443e79a8c52b805eca302b80ae4db.jpg
 
Joto lake hapo sipati picha [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️.

Mwakaleli umeniharibu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inawezekana kweli ila wewe ndo umenipoteza kabisaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Habari ya huko? Siku inakwendaje? Tumshukuru Mungu kwa kila jambo[emoji120] [emoji120]
 
Aseme ninachoweka hapa na kinamboa kwenye uzi. Vocha tena? Nimekuwa Uniq?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umekuwa "uniq"?
Au umekuwa mwanafunzi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haki ya Mungu
 
Hizo kesi ninazo nyingi sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kuna muda unaendesha gari...mwenzio aliye pembeni yako anayaendesha/simamia macho ya dereva yaangalie mbele tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Aahhhh!! Shikamoo ndoa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah!!
 
Mimi tena?!!! Hahahaaaaa...

Nikikumbuka mwanzo kabisa tunaanza kutupia hizi picha ilikuwa kama ka utani vile...
Nikitupia yeye anasema hiyo orijino kutoka Sauzi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaa shimba ana data zote za hawa watu mpaka unajiuliza kuna forex ya misabwax nn maana si mchezo hadi majina
 
Back
Top Bottom