Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Fulu magego naona. Hata kunitetea hakuna. Jizazi...[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Nimekutetea moyoni[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Inawezekana kweli ila wewe ndo umenipoteza kabisaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Habari ya huko? Siku inakwendaje? Tumshukuru Mungu kwa kila jambo[emoji120] [emoji120]
Huku kwema kabisa shemeji. Jumamosi moja maridadi ajabu. Ndo nimetoka jogging ili kuslowisha uhenga. Life is good and yes Yote tunayafanya kupitia katika neema zake tu na si kingine. Msalimie dada na wapwa !!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umekuwa "uniq"?
Au umekuwa mwanafunzi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haki ya Mungu
hahaha hhahah uniq ana kazi sana jaman kila kesi yeye
 
Mimi misambwanda nitavumilia tu
Ila nyoka nahama uzi kabisa maana nikiona hata picha kamwili kanasisimka kwa uwoga[emoji17][emoji17][emoji17]
Kamwili eeeh!

Ungekuwa na limwili wala usingesisimka wala nini bali ungeishia kutabasamu tu.

Moral of the story: Kuwa na limwili [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
614eca9cf033ab3ecd1be6252fe58dc5.jpg
 
Back
Top Bottom