Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hakuna kutoka mkwaju wala nini. Ni kweli sis hizi picha zinakukera kiasi hicho? Maana dozi ya leo iko tayari hapa imeshakuwa collected na haka ka software...Unakaambia tu "collect 50 pictures of big butts or dope women from Instagram" na dakika moja pwaaa unazikuta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahhahaha umenikumbusha picha za ruta nilikua najiuliza anakusanya saa ngapi maana kila siku zinaletwa mpya kumbe ndo huwa mkiwa kimya mnaziandaa za kutosha
 
Shost riyama ally mambo supa full unene
View attachment 704323
Joto lake hapo sipati picha [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️.

Mwakaleli umeniharibu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo pemben ni mume wake

Hahaha andjul bana
Joto lake hapo sipati picha [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️.

andjul umeniharibu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vipapatio vya kuku crispy vyenye sosi ya soya na sukari
Maandalizi; dakika 15
Muda wa kupika; dakika 30
Muda jumla; dakika 45

Mahitaji

Kwa kuku

1kg vipapatio vya kuku
Chumvi kwa kuonja
Vijiko 6 vya chakula potato starch au corn starch
Mafuta ya kukaangia

Kwa sosi

Vijiko 2 vya chakula mafuta ya kupikia
Kijiko cha chakula kitunguu saumu na tangawizi
3/4 kijiko cha chai pilipili ya kukausha (chilli pepper flakes)
1/3 kikombe sosi ya soya
1/4 kikombe rice syrup au corn syrup
Kijiko 1 cha chakula sukari ya brown
Kijiko 1 cha chai mbegu za ufuta

Maelekezo

Hatua ya 1; andaa kuku na viungo

Osha na kukausha vipapatio vya kuku, kisha kata nusunusu, visiwe vizima. Vipake chumvi

Weka potato starch/ corn starch kwenye sahani pana. Paka kuku kipande kimojakimoja mpaka afunikwe kabisa

Hatua ya 2; kaanga kuku

Chemsha mafuta kwenye kikaangio katika moto wa juu kiasi. Mafuta yakichemka vizuri, ongeza kuku. Weka kipande kimojakimoja na hakikisha havijazani sana. Kama kikaangio chako ni kidogo, kaanga nusunusu. Kaanga mpaka vipate rangi ya kahawia kwa mbali, dakika 8 mpaka 10. Toa kwenye mafuta, weka kwenye chujio au sahan yenye tissues ili mafuta yachuje. Acha ipumzike kwa dakika kama 5
Chemsha tena mafuta, rusisha kuku kwenye mafuta. Kaanga kwa dakika 6 hadi 8 nyingine, au mpaka kuku awe crispy na apate rangi nzuri ya kahawia. Toa kwenye mafuta
Hatua ya 3; andaa sosi

Kwenye kikaango kikubwa katika moto wa juu kiasi, chemsha mafuta ya kupikia kwa ajili ya sosi. Ongeza kitunguu saumu na tangawizi, pika mpaka vilainike, kama sekunde 30 kisha ongeza sosi ya soya, rice/corn syrup, pilipili ya kukausha na sukari. Pika kwa dakika chache ukigeuza mara kwa mara isiungue mpaka sukari iyeyuke
Hatua ya 4; changanya kuku na sosi

Ongeza kuku kwenye sosi. Ipua kwenye moto, changanya mpaka kuku ashike sosi vizuri
Pakua kama utakavyopenda
Nyunyizia mbegu za ufuta kwa juu. Enjoy
 
TANGAZO.
Jamani wanagroup tungefanya mpango ili mtu akiumwa tuwe tunaenda kumtembelea na kilo 3za mchele kila mmoja.nyama kilo 1,mafuta lita 3 ,viungo vya pilau na pesa kidogo hata elfu 50.na kama tumeelewana tuanze leo maana mwenyewe sijisikii vizuri nahis naumwa
 
No ignore list please....

Tuvumiliane tu kwa sababu hakuna namna...

Halafu nyie mabinti mnaolalamikia zile picha pendwa si ajabu ndo mna misambwanda ya kufa mtu...Just sayin'....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha
 
14434461f8350545fc2d9ea51c69c3ae.jpg
 
Back
Top Bottom