Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

8eb0ad7bc57e67de03566150d01c07b8.jpg
Cc. Vimbaumbau wote katika uzi huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mapicha ya aina ile bado yanawawewesesha? Mnapenda picha za manyoka lakini mnachukia picha za misambwanda? Nina collection ya manyoka hapa ya kila aina tutapambana aisee...

Siku inaendeleaje wapendwa?
aah mie sijasema kitu bana ila cole anaomba umuelekeze unapozitolea,usilete manyoka utatukimbiza wengine humu na likes hata sitatoa duh manyoka yanatisha
 
Haki ya Mola wangu walahi
Hahahaha
I guess akiingia tu na mimi pia nitatoka mkwaju!
No ignore list please....

Tuvumiliane tu kwa sababu hakuna namna...

Halafu nyie mabinti mnaolalamikia zile picha pendwa si ajabu ndo mna misambwanda ya kufa mtu...Just sayin'....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vijiko 2 vya chakula mafuta ya kupikia
Kijiko cha chakula kitunguu saumu na tangawizi
3/4 kijiko cha chai pilipili ya kukausha (chilli pepper flakes)
1/3 kikombe sosi ya soya
1/4 kikombe rice syrup au corn syrup
Kijiko 1 cha chakula sukari ya brown
Kijiko 1 cha chai mbegu za ufuta

Maelekezo
 
Hatua ya 2; kaanga kuku

Chemsha mafuta kwenye kikaangio katika moto wa juu kiasi. Mafuta yakichemka vizuri, ongeza kuku. Weka kipande kimojakimoja na hakikisha havijazani sana. Kama kikaangio chako ni kidogo, kaanga nusunusu. Kaanga mpaka vipate rangi ya kahawia kwa mbali, dakika 8 mpaka 10. Toa kwenye mafuta, weka kwenye chujio au sahan yenye tissues ili mafuta yachuje. Acha ipumzike kwa dakika kama 5
 
Haki ya Mola wangu walahi
Hahahaha
I guess akiingia tu na mimi pia nitatoka mkwaju!
Hakuna kutoka mkwaju wala nini. Ni kweli sis hizi picha zinakukera kiasi hicho? Maana dozi ya leo iko tayari hapa imeshakuwa collected na haka ka software...Unakaambia tu "collect 50 pictures of big butts or dope women from Instagram" na dakika moja pwaaa unazikuta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hatua ya 3; andaa sosi

Kwenye kikaango kikubwa katika moto wa juu kiasi, chemsha mafuta ya kupikia kwa ajili ya sosi. Ongeza kitunguu saumu na tangawizi, pika mpaka vilainike, kama sekunde 30 kisha ongeza sosi ya soya, rice/corn syrup, pilipili ya kukausha na sukari. Pika kwa dakika chache ukigeuza mara kwa mara isiungue mpaka sukari iyeyuke
 
Back
Top Bottom