Mweee shimba alikua na ushujaa wake huko huko ananisingizia tu dah u slap it and watch it vibrate hahahah quote of the yearUmemuharibu SYB wa watu halafu wajidai anahitaji wokovu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanauzi tunakuona
Si kuku pekee. Hata kwa binadamu. Kuna kabila moja huko Australia funza ndiyo chakula chao cha kila siku. Hawapatwi na magonjwa na wanaishi maisha marefu sana.mchwa na funza ni chakula bora sana kwa kuku. Chakula hiki kina protini kwa wingi sana kwa mifugo yetu, ili kuku aweze kukua vizuri na kuwa na uzito mzuri anahitaji vyakula vyenye protein kwa wingi.
MUHIMU;- Chakula hiki kitumike kama chakula cha ziada.
Nikutakie utekelezaji mwema
Numbisa ndiyo anipeleke kanisani ikibidi. Wiki nzima tukiwa kanisani kama wakati ule wa Valentine alipodai alikuwa kwenye Jumatano ya majivu isiyoisha itapendeza ajabu. Nitaokoka mazima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umemuharibu SYB wa watu halafu wajidai anahitaji wokovu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanauzi tunakuona
Hahahahha akhuu kanisan kwetu hauruhusiwi maana utawahamishia chawamita kirahisiii kwan nani hapendag misabwaxNumbisa ndiyo anipeleke kanisani ikibidi. Wiki nzima tukiwa kanisani kama wakati ule wa Valentine alipodai alikuwa kwenye Jumatano ya majivu isiyoisha itapendeza ajabu. Nitaokoka mazima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]