Wakati wazazi mna/wanahangaika kutafuta ada haya ndo watoto hufanya shuleni/vyuoni
Mwanafunzi CBE ajiua kisa mapenzi
Hahaha jamanKatakuwa katapeli haka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmmh funza naukimbia uzi au naleta magazeti mia kufunika hayo mapicha,hasa magazeti ya Wikipedia yapo vizurKumbe kuwakomesha ni kuweka picha za funza na nyoka. Saaaaaaafiii !!!
Siyo lazima uoze ukifa. Unaweza kuwa mummified au unaweza kuchomwa moto. Ni uamuzi wako tu !!!
Hiyo itapendeza zaidi. Wiki nzima dah !!!
Tanesco wajinga sana,kamvua kidogo tu wanakata umeme.
Aaagrrrr[emoji57][emoji57][emoji57]
Me wamenikata mood yote.Umenishtua ,ngoja nikachaj simu 9% kabla hawajaubeba umeme wao
Mh!Sijui ukoje
Muone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amani ya viungo...Hali ya hewaaa mubashara nahisi amani ya moyoooo
Mh!! Ulale kabla ya shemejio...Me wamenikata mood yote.
Bora nikalale tu[emoji19]
PoleeeTanesco wajinga sana,kamvua kidogo tu wanakata umeme.
Aaagrrrr[emoji57][emoji57][emoji57]
Kidaka mkojooo nimekipenda sanaaa