Mkuu leo unakesha? Daa, ma time yameshaenda kushoto vibaya!
Kesheni bhana.Mkuu leo unakesha? Daa, ma time yameshaenda kushoto vibaya!
HahahahhahahaahSina raha sijui kwa nini...
Na nyinyi wapendwa niwategemeao kuni-cheer up mara mnipayukie "kalaleeeee !!!"; mara mnitishe kunitia kwenye ignore list. Hovyo kabisa leo...Ngoja mi nikakumbatie mito nilale angalau...Aaaaaargh !!!
Kesheni bhana.
Mbona sisi tunakesha hapa?
Uniletee sigara kali...Wandugu wapenzi, ngoja niende dukani kwa Mangi hapa mara moja! Bdae kidogo!