Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2018-03-04-18-59-12.jpg
 
Ila huyu watu wengi wana imani naye. Tusubiri tuone utendaji wake labda anaweza kuwa mmoja wa vioo vya Africa kwenye uongozi uliotukuka.
Kuwa na imani na mwanasiasa. Aisee sitakaa nifanye huo ubaradhuli. Nazingatia sana ushauri wa mwanaharakati mmoja kutoka kule kwa wala migebuka...

"Kamwe Usimwamini Mwanasiasa hata kama ni babako mzazi"
 
Back
Top Bottom