myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
23:00
Kapi hako? Kale kalikokaa kitapeli tapeli. Kama ni hako basi ni kavulana !!!Shimba eti kale katoto unakokaita kambea ni ka kike au ka kiume? nataka kukaweka avatar iwe ya kudumu
Hahahaha ee hako hako unakaonea eti kamekaa kitapel hahahaKapi hako? Kale kalikokaa kitapeli tapeli. Kama ni hako basi ni kavulana !!!
Tanga huko sijui kuna nini huko. Hii imenikumbusha Shauritanga. Mungu Achia majengo yaungue lakini roho hata moja ya mabinti zetu isipotee katika moto huu. Amen !!!
Numbisa fulu magego