Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Shimba eti kale katoto unakokaita kambea ni ka kike au ka kiume? nataka kukaweka avatar iwe ya kudumuKuwa na imani na mwanasiasa. Aisee sitakaa nifanye huo ubaradhuli. Nazingatia sana ushauri wa mwanaharakati mmoja kutoka kule kwa wala migebuka...
"Kamwe Usimwamini Mwanasiasa hata kama ni babako mzazi"
Fasihi feki dhahnia ...
Tolli kweli huyu binti....