myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
23:25
Habari...Wakuu
Mwenyezi Mungu awajaliie kila la kheri watoto wanaosoma hapo na awape moyo wa subira wao, walimu na wazazi
AmenMwenyezi Mungu awajaliie kila la kheri watoto wanaosoma hapo na awape moyo wa subira wao, walimu na wazazi
Kabint karefu asee!!!
Hali inaruhusu kwa kilimo cha watoto[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]![]()
Hali ya hewa inaruhusu kuchill
Mwanasiasa muamini anapotoa salaam na anapojitambulisha jina...yaliyobaki yote jiongeze.Kuwa na imani na mwanasiasa. Aisee sitakaa nifanye huo ubaradhuli. Nazingatia sana ushauri wa mwanaharakati mmoja kutoka kule kwa wala migebuka...
"Kamwe Usimwamini Mwanasiasa hata kama ni babako mzazi"
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ukiona kinyongo kutoa laiki basi elewa moto wa milele unakuhusu kikamilifu
Njema myoya, dabariHabari...