Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Eneko Arrondo kutoka kundi la watafitri la Donana Biological Station, anasema sheria kali za Ureno zinazozuia kusambaa kwa ugonjwa wa kichaa cha ng'ombe, zinahitaji wakulima kuondoa mizoga yote kutoka kwa mashamba. Hii inamaana kuwa ndege hao hawapati fursa ya kula mizoga hao.
 
Kuwa na imani na mwanasiasa. Aisee sitakaa nifanye huo ubaradhuli. Nazingatia sana ushauri wa mwanaharakati mmoja kutoka kule kwa wala migebuka...

"Kamwe Usimwamini Mwanasiasa hata kama ni babako mzazi"
Mwanasiasa muamini anapotoa salaam na anapojitambulisha jina...yaliyobaki yote jiongeze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…