Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahahaha utatuandikia bonge la gazeti full ku act mzee wa busara huku ukiitaman na kuidownload misabwax ya humu kwa sana
Miaka 53 nini bana? Kuna watu nawajua humu wana miaka 70+ na kuna kipindi tulikuwa nao Jukwaa la Wakubwa? Kila mtu ana maisha yake bana siyo eti kwa kuwa una miaka 53 ndiyo unakuja kukoromea watu ambao huwajui wala huwalishi. Asante role model wangu kwa kunipa uhuru huu wa fikra na kutojali (ili tu kutimiza matakwa na ego za wengine) [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Isabella
0813_isabel-dos-santos_390x22021.jpg
 
Mwili wako ni chombo cha muhimu sana katika maisha yako ya sasa. Kwa kutumia mwili wako na sehemu mbali mbali za mwili tunaweza kuielewa hii dunia na ulimwengu kwa ujumla na pia katika kufurahia maisha. Japokuwa mwili sio sehemu yetu ambayo ni ya kudumu au yenye maisha ya milele kama vile ilivyo sehemu ya ufahamu, lakini katika safari ya sasa ni vyema kutambua umuhimu wa mwili wako na kuweza kuishi vyema bila kuukosea au kuutumia vibaya. Wengi wamekuwa wakitumia mwili vibaya katika matendo mabaya, na katika mawazo mabaya.
 
Kuna faida kubwa katika kuuthamini mwili. Mwili usipoweza kuthaminiwa hata furaha ya mwanadamu haitapatikana. Mfano kama unautumia mwili katika matendo yenye hatari katika afya, unaweza kupelekea baadaye maisha yako yakakosa furaha kwani unaweza kupata matatizo kama vile kuumwa, kuishi na matatizo ya afya na kathalika. Hivyo katika kuitafuta furaha kwenye maisha ni vyema mwili kuujali kwani usipoujali utateseka na kupelekea kutopata amani na furaha hata hapo baadae.
 
Kwanini tunasema ni vyema mtu kuujali mwili wake:

1. Weka Umakini Katika Mawazo Yako.
Kuna namna nyingi zinazoweza kuuathiri mwili mfano katika akili. Angali amawazo yako na fikra yako inautazama mwili katika hali gani? Je unatumia muda mwingi kuwaza matatizo ya mwili? Je unatumia muda mwingi kuulalamikia mwili wako? Wazo lolote linapelekea matokeo. Hivyo katika hatua za kuupenda mwili wako anza kuupenda akilini na ondoa mawazo duni.
 
Back
Top Bottom