ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Good morningGood morning Dar es salam
Good morningGood morning Dar es salam
IndeedLikes ziendelee..
Kila mtu ana uhuru wa kupost akipendacho,hicho unacholalamikia kimepostiwa usiku wa manane hivyo haituhusu inawahusu wanaopenda misabwax na kuhusu sie ku like si mbaya hatupangiwi cha ku like na cha kuto likeFinally someone with brain shows up
-Wewe ISIS emu nisaidie kuelewa kidogo maana bado napata tabu kufuta taswira ya 'najsi" niliyoshuhudia.
-Lakini pia bado napambana kukataa kuamini kuwa hichi ndio huwa mnafanya kila siku..najilazimisha kabisa mpaka machozi yanataka kutoka kukataa lakini facts za picha hizo zinasema mengine.
-yeye huyo BUNYEZE anatetea kua ndio desturi yenu kila siku..yaani yeye anakesha usiku AKIAANGALIA, KUCHAGUA KISHA KUDOWNLOAD MISAMBWANDA halafu nyie dada zake mnapita asubuhi naku TIZAMA, KUCHAMBUA kisha MNA LIKE MISAMBWANDA ya wanawake wenzenu????
-Hii dhambi sidhani kama mnaielewa..hivi utakuwaje na siku njema yenye fanaka kama jambo la kwamza linalokuja unapo amka NI KUANGALIA, KUCHAMBUA KISHA KU LIKE HUO UNAOITWA MSAMBAMDA???
JF kuna majukwaa mengi..waachie wa jukwaa hili na mambo yao. kuna maeneo ya wenye akili na busara unaweza kuchangia...
Watu wengine banaUsiishi kwa kukariri hasa linapokuja swala la attitude ya The List
na ninajua lugha ile ndiyo huwa mnaielewa empty set wewe.
Ila nimepata huruma sana kiasi kwamba mpaka sasa bado siamini kama hiki ndio huwa mnafanya humu na ningewaelewa kama mngekuwa vijana wa kiume tu labda ingekuwa justified kuwa ndio changamoto ya kubarehe
LAKINI NA WANAWEKA WANAPITA WANA WEKA LIKE KWENYE HIYO UNAITA MSAMBWANDA SIDHANI KAMA KUNA LOGICAL EXPLANATION ZAIDI YA EMPTY SETS
nakupa pole, pia ndugu zako wa karibu ambao wanategemea na kujisemea 'tuna kijana atatusaidia mbeleni' maana wangelijua kijana una kesha, kuchagua kisha kudownload 'misambwanda' ambayo inawekewa 'like' na wanawake basi wangelia sana
RUBBISH RUBBISH RUBBISH
Naweza kuzijali sana hizo namba tisa kutoka kulia kwangu kwenda kushoto...09876786578200
Subiri nifikishe miaka 53 (ikiwa tu sitapata mtu wa kunibebisha) mtanikoma... Bado kidogo tuKila mtu ana uhuru wa kupost akipendacho,hicho unacholalamikia kimepostiwa usiku wa manane hivyo haituhusu inawahusu wanaopenda misabwax na kuhusu sie ku like si mbaya hatupangiwi cha ku like na cha kuto like
Mkuu sion haja ya wewe kutoa povu lote hilo,haupend kitu potezea wapo wanaokipenda.
Life is too short kufatilia yasiyokuhusu
Pia sema NUMBISA SIO MUMBISA
[emoji124] [emoji124] kila mtu atauchukuaa...[emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji445] [emoji442][emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Numbisa,jakitoo na carba wametuletea msamiati mgumu sana...hii kitu "kilimo" hii?!!!!Hapana maparachichi in andjul voice[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Upo bintiHabari za miaka humu ndani.
Nipo nimejaa teleUpo binti
Hahahahahaha utatuandikia bonge la gazeti full ku act mzee wa busara huku ukiitaman na kuidownload misabwax ya humu kwa sanaSubiri nifikishe miaka 53 (ikiwa tu sitapata mtu wa kunibebisha) mtanikoma... Bado kidogo tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Numbisa,jakitoo na carba wametuletea msamiati mgumu sana...hii kitu "kilimo" hii?!!!!
HahahahhahNaweza kuzijali sana hizo namba tisa kutoka kulia kwangu kwenda kushoto...
Ama kweli umetumia akili nyingi sana kuitoa...
Ha wa yuu Numbisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yopjumatatu ingine
Lunch timemuda wa chai au supu..