Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ba9daef01409c15635b4f802cf9e6633.jpg

Usiku mwemaa ni Jumatatu nyingine tenaa
Yap
 
Mkuu. Unajulikana kwa chuki na kuporomosha matusi hapa JF. Pole kwa mtakatifu wewe kupita mitaa hii mida ya wanga. Yaani mpaka unataka kulia kisa umeona picha ya msambwanda? Mbona usipotezee tu na kwenda zako? Kuna mangapi hapa duniani ambayo hayakupendezi? Yote huwa unayakoromea?

Hili suala hata hivyo ni rahisi tu. Nenda ukaishi maisha yako uliyojichagulia. Huna mamlaka yo yote ya kumuamria mtu mwingine ye yote kuishi unavyotaka wewe kwa namna yo yote ile labda tu mkeo na watoto wako (japo hata hao nao watakutii kwa shingo upande na hofu). Ni nani aliyekupa wewe moral authority ya kuwekea wengine mikatale ya kihafidhina hapa JF au kwingineko mtandaoni? Yaani unagomba kabisa utafikiri hapo ulipo una utakatifu wo wote na mamlaka ya kuamru watu. Pole sana !!!
Apambane na frustration zake
 
Back
Top Bottom