Yote maisha tu. Huko wanakokwenda nao wanapata wengine; na si ajabu nao wanafurahi kuwa wameondoka. Ndiyo mambo yalivyo hivyo...
Hizi picha zinakoromewa balaa na wahafidhina wenye miaka 53...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni God yenye herufi ndogo kama hapo juu au ni God ya herufi kubwa kabisa kama hii?![]()
A man called God
Hahaaaaaaa wakiziona mate yanawatoka tu.Hizi picha zinakoromewa balaa na wahafidhina wenye miaka 53...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sanchoka ndiyo anabamba kwa sasa hapa Bongo. Masogange sijui alipotelea wapi. Kakwama Sauzi ama?
Tanzanian sweetheart indeed !!!Tanzania sweetheart![]()
Ni God yenye herufi ndogo kama hapo juu au ni God ya herufi kubwa kabisa kama hii?
Nami pia nakupenda mdogo wangu!Kumbe ulitunza hizi nondo? Kweli unampenda malkia wako !!!
HahahahaNumbisaaaaaaaaaaaa[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Watajiju kwa kweli!Yote maisha tu. Huko wanakokwenda nao wanapata wengine; na si ajabu nao wanafurahi kuwa wameondoka. Ndiyo mambo yalivyo hivyo...
Miaka 53 nini bana? Kuna watu nawajua humu wana miaka 70+ na kuna kipindi tulikuwa nao Jukwaa la Wakubwa? Kila mtu ana maisha yake bana siyo eti kwa kuwa una miaka 53 ndiyo unakuja kukoromea watu ambao huwajui wala huwalishi. Asante role model wangu kwa kunipa uhuru huu wa fikra na kutojali (ili tu kutimiza matakwa na ego za wengine) [emoji23][emoji23][emoji23]