Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahah hapo sasa 53 bado rijali kabisa anajidai kala chumvi nyiiiingiiii wakat mtaan kakalia kufukuzia vibitni vya watu vibichi kabisaa

Ungekata tamaa jana na kumjibu kwa upole ningekushangaa na kuona nimefeli kwenye u role model wajamen,aluta kontinua

Kuna wanaokereka na kila kinachopostiwa humu so tukianza sikiliza maoni ya kila mmoja ka uzi katakufa,post chochote upate likes kasoro lugha chafu ndo slogan ya uzi wetu pendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…