Good evening my loveA totally blessed
YopYote maisha tu. Huko wanakokwenda nao wanapata wengine; na si ajabu nao wanafurahi kuwa wameondoka. Ndiyo mambo yalivyo hivyo...
Ni series moja ya korean drama bomba sana god not GodNi God yenye herufi ndogo kama hapo juu au ni God ya herufi kubwa kabisa kama hii?
Ukifuatilia kisa chake inaweza kuwa hivyo
Napata wakat mgumh kweli hata mm kutofautisha ila nahisi ni yenye herufi kubwa
Nilipitia post moja shimba anaomba utupie nyoka Mbili Tatu
[emoji8] [emoji8] [emoji8]
Alitupia tunyoka 10...Nilipitia post moja shimba anaomba utupie nyoka Mbili Tatu
SanaaaBonge la series
Indeed
A tree of life forever!
HahahahahaEti hii mibaba imeshindwa kumpita huyo Manzi.