mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 705811
Nakusubiria hapo, mzee wa liver lazima achekelee siku hiyo! [emoji1][emoji1]
Hahahahaha wacha tusubiriMzee wa liver anakwambia salah anatosha duh wala sina hofu kabisa ila mzee wa jumong na pombe zake kali kali presha itakua juu huku mech huku forex
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yaani utafikiri amplyclox
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ushawahi onja
Mchana mwemaasubuhi njema
AminaMungu atupe afya
Indeedkila mtu ni muhimu sana
HahahahahaI am humble you know, life is good you know kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi LoL!
AmenHakika.
Mungu aliye JUU ana haja nasi,uwepo wetu ni makusudi yake BABA.
Ni siku njema iliyo jaa baraka,tunyenyekee mbele ya BWANA MUNGU wetu ili tukapokee kilicho andaliwa kwa yetu.
Tusinyosheane vidole kwa namna yoyote ile maana sisi si watimilifu.
Tuwe na siku njema[emoji120] [emoji120]
Amun RaMaulana Mola wangu aendelee kunitetea na kunilinda milele!
Hata mia tutapataNi aje wakuu? Naombeni likes tano ili niingie ofisini.