Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

KIBOSHO, MOSHI: Mtu mmoja aliyefahamika kwa majina ya James Mallya amejeruhiwa kwa kukatwa na Panga baada ya kumshika Mbuzi wa tambiko - Kiongozi wa tambiko hilo alikasirishwa na namna James alivyokuwa akimshika Mbuzi huyo kinyume na taratibu za mila. - James Mallya ambaye ni mkazi wa Dar es Salaam alijeruhiwa kichwani na kwa sasa amelazwa katika Hospitali ya KCMC kwaajili ya matibabu zaidi.
 
kwann mnapenda picha za nyoka kuliko za mademu wakali wenye chura
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mkuu !!!

Binadamu wote hatuwezi kufanana. Tatizo linazuka pale mmoja anapolazimisha asichokipenda yeye na wengine wasikipende (and vice versa). Maisha ni kuvumiliana ati !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…