Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi nyoka siwapendi, halafu nawaogopa sana! Akiingia ndani kwangu nampisha tu mpaka atakapojisikia kutoka. [emoji23][emoji23]
Akiingia kama una mafuta ya taa yamwage kidogo tu mahali. Huwa hawapendi sana hiyo harufu na mara moja utamwona anateleza na kwenda zake. Actually ukimmwagia mafuta ya taa kichwani anakufa mara moja...

Maarifa ya babu yangu haya Ng'wanasabina kijijini Koromije...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna sehemu nilienda tumbili wengi wanaiba kila wakionacho kero tupu

Paka siwez kaa nakula nae ananiangalia narudisha chenji fasta(tapika)

Mbwa basi tu sipend wa kufuga ila kuwaangalia huko mitaan ni sawa tu
Tumbili nimeapizana nao popote nitakapo kutana nao hata wawe ngedere ni mwendo wa mawe tu.
Wamemuibia bibi angu huko kijijini taa za kuchaji mbili za solar.
Kwanza ni wezi wa vyakula,kipindi cha shida ya maji,usihifadhi kwenye vidumu vya lita 5,wanaibaaaa.... Shiieezyii kabisa...
 
Kabisa tumbili hawafai hadi mayai ya kuku wanaiba. Ponda kabisa hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…