Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mtemi chenge. Mbali na jeuri ya pesa huko Unyantuzu jamaa anaogopwa sana kwa mazingaombwe. Yeye na Momose ukiwachezea tu unadisapia....
Jamaa alipigana kufa na kupona kuokoa ndoa yake (ikiwemo kununua pete ya milioni 3.5). Safi sana !!!
Kazi ipooo !!!
SpeedAna sifa gani? Kuwa na sumu kali kuliko nyoka mwingine ye yote ama?