Sikuona hiyo ya kubet....Upepo waaapi mwishowe uniuze kikweli kweli
Sijaona jana ulijibu aje kuhusu kubet
Yule mhafidhina anayekuja hapa kupiga makelele mida ya wanga akiiona hii si ajabu atajirusha kutoka ghorofani kabisa huko aliko. Binti mzuri !!!
Aisee. Pole zake...!!!Carba too busy atakuja tu hasa nyoka wakipungua au kuacha kuwekwa kabisa
Jamaa alipigana kufa na kupona kuokoa ndoa yake (ikiwemo kununua pete ya milioni 3.5). Safi sana !!!
Da man !!!
Unaona sasa. Wema huzaa wema !!!Chadwick Boseman na Danai Gurira. Chadwick Boseman acting classes zake alilipiwa na Super Star Denzel Washington
![]()
Halafu yale orijino ya Kiafrika utayajua tu..[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Bulungutu
![]()