mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Yanga
Watu hawajali tena. Utafikiri UKIMWI ni Malaria tu siku hizi....
Kama kawaHalafu anatembeaje huyu?
Anyway wacha niwachabo PSG now
HahahahahaUtauliwa mkuu. Acha kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee !!!....Ni kweli lakini ndoa yake na huyu mrembo imemgharimu familia yake. Baba, Mama yake na dada yake hawaongei kwa miaka mingi sasa. Kabla ya kuwa na huyu Kobe alikuwa na mrembo African American ambaye Wazazi wake walimpenda sana na kujua atakuwa mkwe wao. Dada yake alimpenda pia lakini baada ya Kobe kukutana na huyu mrembo akabadili mawazo na kuamua kumpiga kibuti mrembo mweusi ndiyo hapo varangati lilianza rasmi. Juhudi za familia kumshawishi Kobe hazikufua dafu na uhusiano ndiyo ukalega lega na nadhani umekufa rasmi. Sidhani kama mke na watoto wa Kobe wamewahi kukutana na Wazazi wa Kobe.
Kobe hataki kabisa kuulizwa kuhusu wazazi wake aliongea mara ya mwisho miaka michache iliyopita na kudai hataongelea tena uhusiano wake na Wazazi wake na dada yake.
Hi my dearIndeed!
Hahahahaha my QueenHao Nyoka vipi? Nikutumie mmoja akupe company?
Hahahaha
ThanksNimesha mpa jibu!
Hahahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] demi![]()
[emoji3][emoji3]Shimba
Mzee wa liver
Moudguful
Rutash
Mnavyompiga jicho ze lst
Niaje lakiniKweli mkuu
Hahahahaha![]()
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Numbisa
Isis
Jakitoo
Demiss
Jeshi la likes hatar