Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee !!!

Kwenye mafamilia huko nako kuna mambo. Ila hawa Black Americans wana mambo ya ajabu sana. Na hii tabia ya kuoa weupe kila wakipata pesa nadhani wengi inawakera. Si ajabu hata wazazi wake na Kobe pengine kidogo wana mwamko huo wa kiuanaharakati harakati. Sad !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…