Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naam hilo kwa weusi wengi wenye uwezo kuoa wasio weusi wenzao kwa ujinga wao ni kuwa na status fulani hivi katika jamii ambayo huwezi kuwa nayo kama utakuwa na mke mweusi na hasa wanamichezo ila kwenye NBA naona hilo la kuoa wasio weusi limepungua sana ukilinganisha na American Football na Baseball. Huko nako taratibu linaanza kupungua lakini si kwa kasi ya NBA.

 
Hahahahaha
 
Nimeona mkuu anataka kuendeleza mchezo huo afrika
 

Halafu kuna hii ishu ya kuzaa watoto ambao ni mixed. Kwa vile ni weupe na "warembo " zaidi basi nafasi yao ya kufanikiwa maishani eti inakuwa kubwa ikilinganishwa na wenzao ambao siyo mixed....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…