Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Barafu wa kichwa chako hajambo mkuu? Na wewe je?
Hakika Mungu ni JEURI wa wajeuri,hadi sasa bado anatufanya wa THAMANI zaidi ya tufikiriavyo sisi wenyewe.
Anaendelea kututendea yaliyo mema kwa kweli.
Habari ya huko mkuu? Wakoromije wanaendeleaje kama utakuwa umewasiliana nao...
Hebu tuwasiliane aisee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…