*Breaking News: Mange kimambi akamatwa*
Mwanadada mahiri na machachari kweli kweli mwanaharakati Mange kimambi ambaye anaishi Marekani amekamatwa Jana Usiku saa za Africa Mashariki akifanya usafi ndani ya Nyumba yake Mange kimambi ambaye Ni mtanzania mzalendo Anayeishi nje amekua akifanya usafi Mara kwa Mara katika Nyumba yake hiyo Kubwa yenye vyumba 12 ila kuna Nyumba yake ndogo ambayo hutumia kwaajili ya kusomea vitabu mbalimbali vihusuvyo sheria
Sasa Jana aliamua kuifanyia Nyumba hiyo ndogo usafi ambapo alikamatwa mkono na mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 6 hivi mtoto huyo alimpeleka mama yake moja kwa moja mpaka Chumba kikubwa Ile kufungua tuu mlango yalitoka Maputo Makubwa mazuri yenye rangi tofauti za kupendeza kama ukawaaa...