moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
"Aliyepewa amepewa japo ataongezewa"- Doro & TMK Wanaune familyJose Mourinho atakuwa miongoni mwa wachambuzi wa soka watakaofanya kazi na kituo cha Russia Today wakati michuano ya kombe la dunia itakapokuwa ikichezwa nchini Russia. Jose atafanya kazi kwa siku 4 tu RT na malipo yake yatakuwa £1.6m au £400,000 kwa kila siku - kwa maana hiyo ndani ya siku 4 atakazofanya kazi Jose ataondoka na kiasi cha shilingi billioni 4,987,627,312.